Jarida juu ya Maisha ya MwAfrika katika huduma ya Ukristo

Artikelnummer: AR795

EAN: 9783862691760

Kategorie: Startseite


11,99 €

inkl. 7% USt. , zzgl. Versand

UVP des Herstellers: 12,00 €
(Sie sparen 0,08%, also 0,01 €)
momentan nicht verfügbar


Yaliyomo ni kazi za Jim Harries alizoandikwa tangu mwaka wa 2006 mpaka 2019. Maandishi yake yanaangalia sana utumizi wa lugha kwa huduma ya Ukristo kwa bara la Afrika. Anataja mada mengine pia utume, mafunzo ya Bi- blia, utamaduni wa Kiafrika, maendeleo, uchawi, nk. Alipendelea ayaweke ma- andishi yake pamoja ndani ya kitabu kimoja. Jim anatumaini maandishi yake yatakuwa himizo kwa wenyeji wa Afrika ya Mashariki kuandika maono ambayo wamepewa na Bwana, na yale waliojifunza kulingana na huduma yao.

Buchreihe: World of Theology Series
Kontaktdaten

Bitte melden Sie sich an, um einen Tag hinzuzufügen.